Karibu kwenye duka letu. Tafadhali Chagua bidhaa na uweke oda Yako sasa.
sifa: battery ya uhakika, display nzuri, Bluetooth yenye speed, sauti kubwa, inasupport laini tatu na mtandao wa uhakika
Locationπ: Igodivaha , Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
Sifa:Fast charger, both micro and type c, ni ndefu, haiwezi kukatika kirahisi
Locationπ: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β ββ
Sifa: Ina spika kubwa na yenye sauti sana, inakaa na chaji kwa muda mrefu, ina kioo (screen) kubwa na ya kuvutia, ina uwezo mkubwa wa kusave majina pamoja na sms, inakubali laini ndogo au vipisi (micro SIM)
Locationπ: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: ina uwezo wa kutunza chaji kwa muda mrefu hata ikiwa inatumika, ina ukubwa na sauti kubwa ya kuvutia
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: Ina ukubwa wa RAM 4 na ROM 4 pia hivyo inavuta mtandao kwa kasi sana bila kuganda, ni nyembamba na nyepesi, inakaa na chaji muda mrefu, ina sauti kubwa na ya kuridhisha.
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: kioo kikubwa inch 1.77, original battery, mtandao wa uhakika
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: Kwa nini ukose kuwa hewani wakati Xenium 210 ipo, ni simu inayofanya vizuri kwa sasa , inakaa na chaji na mawasiliano ni uhakika
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: zina uwezo na kasi kubwa, original, zinadumu kwa muda mrefu
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: ni original na ina warranty ya mwaka mmoja, ukinunua dukani kwetu movies au nyimbo za kuanzia unapata bure kabisa
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
| Ukubwa (Size) | Bei (Price) |
|---|---|
| 1GB | TZS 7,000 |
| 2GB | TZS 8,000 |
| 4GB | TZS 10,000 |
| 8GB | TZS 12,000 |
| 16GB | TZS 15,000 |
| 32GB | TZS 18,000 |
| 64GB | TZS 25,000 |
| 128GB | TZS 40,000 |
sifa: ni original na ina warranty ya mwaka mmoja, ukinunua dukani kwetu movies au nyimbo za kuanzia unapata bure kabisa
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
| Ukubwa (Size) | Bei (Price) |
|---|---|
| 1GB | TZS 7,000 |
| 2GB | TZS 8,000 |
| 4GB | TZS 10,000 |
| 8GB | TZS 12,000 |
| 16GB | TZS 15,000 |
| 32GB | TZS 18,000 |
| 64GB | TZS 25,000 |
| 128GB | TZS 40,000 |
sifa: hazivujishi umeme, zinakaa na chaji kwa muda mrefu, linawahi kujaa chaji hvyo linaokoa muda
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: linakubali kwenye simu ndogo zote, ni original, linadumu sana
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: original
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β
sifa: Unalalaje giza kisa Tanesco π€ Venocyber Movies store tunakuletea Emergency Bulb π‘ hizi ni Taa zinazotumia solar na umeme pia lakini kubwa zaidi ni kwamba zina uwezo wa kuendelea kuwaka hata kama umeme ukikata. taa hizi ni 9W na zinachaji mpaka full kwa masaa 4 tu
Location π: Igodivaha, Njombe, Tanzania
Rating: β β β β β